November 09, 2023

Wawekezaji wengi sasa wanawekeza zaidi katika madini hayo lakini kwa Afrika sehemu kubwa inasafirishwa kwenda nje ikiwa ghafi badala ya kuongeza thamani" Anasema ili kunufaika zaidi mataifa ya Afrika yenye madini hayo hayana budi kuongeza ushirikiano wa kibiashara ili kunufaika na rasilimali hiyo mu...

Tunatakiwa kushikilia manufaa ya madini muhimu yanayowezesha mabadiliko (Transitional Minerals)
Wawekezaji wengi sasa wanawekeza zaidi katika madini hayo lakini kwa Afrika sehemu kubwa inasafirishwa kwenda nje ikiwa ghafi badala ya kuongeza thamani" Anasema ili kunufaika zaidi mataifa ya Afrika yenye madini hayo hayana budi kuongeza ushirikiano wa kibiashara ili kunufaika na rasilimali hiyo muhimu. "Huwezi kufanikiwa kushikilia manufaa peke yako kwa kuwa ongezaji thamani wa madini hayo unategemeana, ushirikiano ndo utaleta mafanikio"

Related Posts

CALL FOR ABSTRACTS
Jun 12, 2026

CALL FOR ABSTRACTS

📢 CALL FOR ABSTRACTS HakiRasilimali invites researchers, academics, practitioners, policymakers, and civil society actors to submit abstracts for th...

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 02, 2025

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

ESKi Tanzania ni programu ya kukuza uwezo iliyoundwa ili kukuza na kuendeleza kizazi kipya cha viongozi, watetezi wa jamii na wataalamu wanaoshughulik...

Call for Application – Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 01, 2025

Call for Application – Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

Capacity-building opportunity for CSOs, youth and media to deepen technical expertise.