June 19, 2025

Meneja miradi waa Taasisi ya HakiRasilimali Lucy Shao amesema miaka 10 ya Jukwaa la Uziduaji imechochea utekekelezaji na mabadiliko ya Sera mbalimbali zinazosimamia rasilimali za nchi. Akizungumza katika jukwaa la 10 Shao amesema jukwaa hili ambo huandaliwa kila mwaka na HakiRasilimali linaji...

Jukwaa la uziduaji lajivunia miaka 10 ya mabadiliko, mijadala yenye tija
Meneja miradi waa Taasisi ya HakiRasilimali Lucy Shao amesema miaka 10 ya Jukwaa la Uziduaji imechochea utekekelezaji na mabadiliko ya Sera mbalimbali zinazosimamia rasilimali za nchi.

Akizungumza katika jukwaa la 10 Shao amesema jukwaa hili ambo huandaliwa kila mwaka na HakiRasilimali linajivunia kuwakutanisha watu na kuibua mijadala yenye tija kwa taifa na ni matumaini yake kuwa hilo litaendelea kwa miaka ijayo.

"Kwa miaka yote jukwaa hili limekuwa na mchango mkubwa wa kuleta mabadiliko ya kisera na kukuza utekelezaji wa sheria na sera zilizopo, sheria na sera nyingi zimechambuliwa hapa na tumeona matokeo kupitia mabadiliko mbalimbali ambayo yamefanywa," amesema Shao.

Alitaja miaongoni mwake kuwa ni sheria ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji na ile ya mapitio ya mikataba lakini pia kanuni zinazosimamia maslahi ya wazawa katika maeneo yenye rasilimali.

Akizungumzia mafanikio zaidi Shao alisema wakati Taasisi ya Hakirasilimali inaanza ilikuwa ni wanachama 6 tu lakini sasa mtandao wake umetanuka unawanachama 19.

Related Posts

CALL FOR ABSTRACTS
Jun 12, 2026

CALL FOR ABSTRACTS

📢 CALL FOR ABSTRACTS HakiRasilimali invites researchers, academics, practitioners, policymakers, and civil society actors to submit abstracts for th...

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 02, 2025

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

ESKi Tanzania ni programu ya kukuza uwezo iliyoundwa ili kukuza na kuendeleza kizazi kipya cha viongozi, watetezi wa jamii na wataalamu wanaoshughulik...

Call for Application – Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 01, 2025

Call for Application – Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

Capacity-building opportunity for CSOs, youth and media to deepen technical expertise.